Mwakilishi UN ahofia ongezeko la ugonjwa wa kisukari

|
Mwakikishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania (UNTZ), Alvaro Rodriguez

Mwakikishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania (UNTZ), Alvaro Rodriguez amesema, changamoto kubwa inayowabili Watanzania wengi ni ugonjwa wa Kisukari.

Alvaro kupitia ukurasa wake Twitter amesema, katika kipindi cha miaka ya nyuma hakukuwa na maradhi hayo hadi pale idadi kubwa ya Watanzania ilipoanza kuiga ulaji wa kimagharibi.

"Tanzania Ina vyakula vingi asilia ambayo ndiyo bora" aliandika Alvaro katika kuelezea umuhimu wa kujali afya za watu na ulaji bora.

Chakula
Maoni