Serengeti Boys yatua Rwanda kujipanga kwa AFCON U17

|
Serengeti Boys walipowasili nchini Rwanda.

Kikosi cha timu ya taifa ya vijana #SerengetiBoys kimewasili salama nchini Rwanda kushiriki mashindano maalum ya maandalizi ya fainali za #U17AFCON2019 zikazofanyika nchini Tanzania mwezi Aprili mwaka huu.

Mashindano hayo maalum yanajumuisha mataifa matatu ambayo ni Tanzania, Cameroon na wenyeji Rwanda.

Kikosi cha Serengeti Boys kilichosafiri ni hiki hapa

 1. Mwinyi Abdallah
 2. Shaban Hassan
 3. Zubery Foba
 4. Pascal Gaudence
 5. Ally Hamis
 6. Ben Anthony
 7. Mohamed Omary
 8. Dominic Pauline
 9. Mustapha Rashid
 10. Morice Michael
 11. Agiri Aristide
 12. Edson Jeremia
 13. Tepsi Evance
 14. Charles Herman
 15. Kelvin Pius
 16. Edmund Godfrey
 17. Salum Ally
 18. Arafat Hussein
 19. Misungwi Boniface
 20. Ladaki Juma
 21. Jefferson Mwaikambo
 22. Benard Castory
 23. Omary Jumanne
Soka Tanzania
Maoni