Waliokufa kwa kuteketea kwa moto wa petroli wazikwa

|
Mmoja wa waliokufa kwenye moto wa Petroli ulioteketeza nyumba yao Same mkoani Kilimanjaro

Watu wanne wa familia moja waliofariki dunia baada ya nyumba yao kulipuka kwa moto wa petroli wamezikwa jana Machi 10, 2019 wilayani Same mkoani Kilimanjaro.

Mazishi hayo yamefanyika katika vijiji vya Tae na Mbwambwo wilayani Same.

Waliofariki na kuzikwa jana ni Christina Mdeme, Natujwa Justine na watoto wao Jamila Ameir na Johanson Ameir.

Maisha
Maoni