Uzinduzi wa Taasisi ya Jakaya Kikwete
Picha za Matukio mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Taasisi ya Jakaya Kikwete iliyofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais John Magufuli na kushuhudiwa na wageni waalikwa akiwemo Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na wake zake, pamoja na mabalozi na wageni mbalimbali.