Magufuli Atishia Kuifunga Migodi Yote Nchini
Rais John Magufuli amewataka wawekezaji wa sekta ya madini kufanya haraka katika kutekeleza mazungumzo yaliyopangwa kufanywa kati yao na serikali na wakichelewa amesema ataifunga migodi yote.
Ndumbaro Asema Kifungo Chake Kiligubikwa Na Sarakasi
Mwanasheria mashuhuri hasa katika nyanja ya michezo Dkt. Damas Ndumaro, amesema kifungo alichoadhibiwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kilikuwa na sarakasi nyingi na jitihada mbalimbali ili kuuficha ukweli.
Hebu Sikia Sifa Za Rais Kagame Wa Rwanda
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu wa Rwanda, zikizidi kushika kasi, naibu spika wa bunge la Rwanda Abbas Mkama, anasimulia sifa za rais Paul Kagame.
Ruge Na Makonda Wakidansi Baada Ya Kupatanishwa
Muda mchache baada ya kupatanishwa, mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Media Ruge Mutahaba na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, waliishia kwenye kucheza muziki kwa pamoja wakiwa jukwaani.
Ndumbaro Asema Kifungo Chake Kiligubikwa Na Sarakasi
Mwanasheria mashuhusiri haswa katika nyanja ya michezo Dkt. Damas Ndumaro, amesema kifungo alichoadhibiwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kilikuwa na sarakasi nyingi na jitihada mbalimbali ili kuuficha ukweli.