Hebu Msikie Magufuli Alivyomwambia Waziri Ummy
Rais John Magufuli ametoa kali jijini Tanga baada ya kumwambia waziri wa afya Ummy Mwalimu, kwamba asingekuwepo mkewe angemtafutia msegej.
Utani Wa Kurusha Ngumi Kuelekea Simba Day
Agosti 8, ni siku ya hekaheka kwa watanzania, kutokana na uwepo wa wingi wa matukio, lakini kubwa kuliko yote ni tamasha kubwa la klabu ya Simba lijulikanalo kama “Simba Day” hebu watazame watani hawa wa jadi.
Makamu Wa Rais Arusha Dongo Kizani
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya sasa inafanya mambo kwa vitendo na si maneno maneno, huku akiwatupia dongo wanaouchambua uchumi wa nchi kama unaenda au hauendi.
Museveni Amuiga Magufuli Kuhusu Ndege
Rais Yoweri Museveni wa Uganda, amempongeza rais John Magufuli wa Tanzania na serikali yake kwa hatua za ununuzi wa ndege na kusema kuwa na wao wanaenda kufufua kampuni yao.ya ndege.
Kumbe Museveni Aliwahi Kupita Tanga Na Mzigo Wa Bunduki
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, ameelezea kuwa aliwahi kupita bandari ya Tanga akiwa na bunduki 14, tena kimagendo.